الموقع الأكبر لتحميل الكتب مجانا



معلومات الكتاب
KUFICHUA YENYE UTATA
المؤلف : محمد بن عبدالوهاب

التصنيف : إسلامية باللغة السواحلية

  مرات المشاهدة : 206

  مرات التحميل : 206

تقييم الكتاب



نشر الكتاب



تفاصيل عن كتاب KUFICHUA YENYE UTATA
2013م - 1444هـ




Bismillaah. Shukran zote zastahiki kuregea Kwake Yeye (وتعالى سبحانه (Muumba mbingu

na ardhi na vilivyomomo ndani yake. Ni Yeye peke Yake Anastahiki kuabudiwa kwa

haki na kutoshirikishwa na kitu chochote katika ́Ibaadah Zake, Asiyekuwa na mfano

ambaye Hafananishwi na kitu chochote.

Na Swalah na salaam zimfikie Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (alosimama

kuitangaza Tawhiyd tokea kutumilizwa kwake mpaka pumzi zake za mwisho za

maisha yake, akafikisha ujumbe wa Mola Wake Aloamrishwa na Maswahabah wake

na kila wenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah. Amma ba ́ad:

Hakika Tawhiyd ndio msingi wa Uislamu uliyojengwa juu yake. Na hapana shaka ni

jambo muhimu kwa kila Muislamu kuijua na kuitekeleza kwa kuwa haitokubaliwa

́Ibaadah ya Muislamu yoyote bila ya Tawhiyd na wala hazitokubaliwa ́amali ya

Muislamu ikiwa haitokuwa ya kumpwekesha Allaah wala kwenda kwa kulingana na

mafundisho ya Mtume Muhammad (وسلم عليه هللا صلى (na wala hatopata Shafaa ́ah

(uombezi) wa Mtume Muhammad ila yule aliyekuwa katika msimamo wa Tawhiyd.

Na katoa ahadi Mtume kuwa yoyote atakayekuwa neno lake la mwisho katika

ulimwengu huu ni Kalimat at-Tawhiyd “laa ilaaha illa Allaah” ataingia Peponi.

Twamuomba Allaah Atukhatimishe juu ya msimamo wa Tawhiyd.

Hakika umuhimu wa Tawhiyd ni mkubwa na ndio lengo kubwa walilotumilizwa nalo

Mitume likawafanya Maswahabah wasafiri miji mbali mbali kwa ajili ya kufikisha

Ujumbe huu wa Tawhiyd kwa watu mbali na mitihani mbali mbali iliyowapata,

mpaka wakaja wanavyuoni ambao wamesimama kuitetea na kuifikisha. Mmoja wao

akiwa ni Mujaddid wa karne, yeye ni Shaykh Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab

(Allaah Amrehemu) ambaye tarehe yake yajulikana na alivyoisafisha bara Arabu na

ushirikina pamoja na vita alivyopigwa mpaka akaweza kufaulu. Na moja ya kazi

aliyoifanya mbali na kulingania watu katika Tawhiyd, aliandika vitabu mbali mbali



vya Tawhiyd vilivyopendwa na watu. Moja wapo ni Kitabu hiki cha Kashf-ush-

Shubuhaat. Kitabu ambacho amefichukua na kuweka wazi shubuha (utata) wa



washirikina walokuwa wakizitumia kuutetea ushirikina wao zama hizo. Kitabu

ambacho kimeshereheshwa na kufafanuliwa na wanavyuoni mbali mbali.



Na leo tumshukuru kijana wetu mpendwa al-Akh Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush as-

Salafiy Allaah amuhifadhi na kumuongoza yeye na sisi sote katika njia hii iliyonyooka



kwa kazi nzuri aloifanya kukitafsiri kitabu hiki kwa lugha ya kiswahili, ili wanufaike



Kashf-ush-Shubuhaat



Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab



















Kitabu hiki kinazunguzia kufichua kuyaweka wazi mambo yenye utata


قراءة اونلاين لكتاب KUFICHUA YENYE UTATA

يمكنك الاستمتاع بقراءة كتاب KUFICHUA YENYE UTATA اونلاين وعلى الموقع الخاص بنا من خلال الضغط على زر قراءة بالاسفل

من خلال صفحة القراءة اونلاين

تحميل كتاب KUFICHUA YENYE UTATA

كتاب KUFICHUA YENYE UTATA يمكنك تحميله من خلال الدخول الى صفحه التحميل من

صفحة تحميل كتاب KUFICHUA YENYE UTATA PDF

او يمكنك التحميل المباشر من خلال الضغط


الابلاغ


يمكنك الابلاغ عن الكتاب بناء على احد الاسباب التاليه
1 - الابلاغ بخصوص حقوق النشر والطباعه
2 - رابط مشاهد او تحميل لا يعمل
وستقوم الادارة بالمراجعه و اتخاذ الاجراءات اللازمه , وفي حالة وجود اي استفسار اخر يمكنك الاتصال بنا