الموقع الأكبر لتحميل الكتب مجانا



معلومات الكتاب
Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha
المؤلف : مؤلف غير معروف

التصنيف : إسلامية باللغة السواحلية

  مرات المشاهدة : 180

  مرات التحميل : 180

تقييم الكتاب



نشر الكتاب



تفاصيل عن كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha
2015م - 1444هـ
Namshukuru Mwenyezi Mungu peke yake, rehema na amani

zimwendee mja wake na Mtume wake Mtume wetu Muhammad pamoja

na familia yake na Maswahaba zake.

Amma baad.

Haya ni maneno kwa ufupi yanayo bainisha namna ya swala ya

Mtume (s.a.w), nimekusudia kuileta kwa kila Muislamu mwanaume na

mwanamke ili ajitahidi kila atakae soma kitabu hiki amuige Mtume

(s.a.w) kwa ajili ya kufanyia kazi maneno yake Mtume (s.a.w): (Swalini

kama mlivyo niona nikiswali). Kapokea hadithi hii Imamu Bukhari.

Ni juu ya msomaji kufuata haya:

1: AUKAMILISHE UDHU.

Nako ni kutawadha kama alivyo amrisha Mwenyezi Mungu kwa

kauli yake tukufu: (Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala

basi osheni nyuso zenu, na mikonoyenu mpaka vifundoni, na mpake

vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni...). (Al-Maida: 6).

Na kauli ya Mtume (s.a.w): (Haikubaliwi swala bila ya

kujitwaharisha). Ameipokea hadithi hii Imamu Abuu Daud na Tirmidhiy,

na akaisahihisha Shekh Al-baniy (r.h).

Na udhu unakuwa kama ifuatavyo:

1: Anuwie kutawadha ndani ya moyo wake bila ya kutamka niya,

kwa sababu Mtume (s.a.w) hakutamka niya wakati wa kutawadha kwake

wala ndani ya swala yake wala katika ibada yake yoyote, kwa sababu



.





Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume s.a.w . na jinsi ya kutawadha, kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume s.a.w katika swala na udhu.


قراءة اونلاين لكتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha

يمكنك الاستمتاع بقراءة كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha اونلاين وعلى الموقع الخاص بنا من خلال الضغط على زر قراءة بالاسفل

من خلال صفحة القراءة اونلاين

تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha

كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha يمكنك تحميله من خلال الدخول الى صفحه التحميل من

صفحة تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF

او يمكنك التحميل المباشر من خلال الضغط


الابلاغ


يمكنك الابلاغ عن الكتاب بناء على احد الاسباب التاليه
1 - الابلاغ بخصوص حقوق النشر والطباعه
2 - رابط مشاهد او تحميل لا يعمل
وستقوم الادارة بالمراجعه و اتخاذ الاجراءات اللازمه , وفي حالة وجود اي استفسار اخر يمكنك الاتصال بنا