2011م - 1444هـ 
Kikundi cha wanafunzi wa chuo
    Qur'ani  ni  maneno  ya  Mwenyezi  Mungu,  na  ubora  wake,  ukilinganisha  na 
maneno  mengine,  ni  kama  ubora  wa  Mwenyezi  Mungu  juu  ya  viumbe  wake. 
Kuisoma Qur'ani ni jambo bora sana ambalo ulimi ume
litamka. 
MIONGONI   MWA   FADHILA   ZA   KUJIFUNZA   QUR'NI   NA 
KUIFUNDISHA NI: 
MALIPO  YA  KUIFUNDISHA
  Mtume, 
(
Swalla  Allaahu  ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
  Mwenyezi  Mungu 
amfikishie  rehema  na  amani,  amesema  kuwa: 
"Mbora  wenu  zaidi  ni  yule 
aliyejifunza Qur'ani na akaifundisha".
Bukhari.
MALIPO YAKUISOMA
 Mtume, 
(
Swalla Allaahu ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
 Mwenyezi Mungu amfikishie 
rehema  na  amani,  amesema  kuwa: 
"Mwenye  kusoma  herufi  katika  kitabu  cha 
Mwenyezi Mungu atapata zuri (moja) kwa herufi hiyo 
(moja aliyoisoma), na zuri 
(moja) ni kwa mazuri kumi mfano wake
"
. 
Tirmidhiy
.
FADHILA  ZA  KUJIFUNZA  QUR’ANI,  KUIHIFADHI  NA  KUISOMA 
KWA  UHODARI
  Amesema  Mtume, 
(
Swalla  Allaahu  ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
  Mwenyezi  Mungu 
amfikishie rehema na amani, kwamba: 
"Mfano wa ambaye anaisoma Qur'ani na 
ilhali  ni  mwenye  kuihifadhi,  atakuwa  pamoja  na  Malaika,  Watukufu,  Wema.  Na 
mfano  wa  ambaye  anaisoma  Qur'ani  na  ilhali  yeye  anaipatiliza  na  huku  ikiwa 
ngumu kwake, basi atapata malipo mawili"
.
Bukhari,
Muslim
.  
Na Amesema Mtume,                     
(
Swalla Allaahu ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
 Mwenyezi Mungu amfikishie 
rehema  na  amani,  kuwa: 
"
Ataambiwa  msomaji  wa  Qur'ani  kwamba:  Soma  na 
panda (daraja) na soma kama ulivyokuwa ukisoma duniani, kwani daraja yako ni 
pale mwisho wa aya utakayoisoma".
Tirmidhiy
.  
MALIPO YA MTU AMBAYE MTOTO WAKE AMEJIFUNZA QUR’ANI
Mtume, 
(
Swalla Allaahu ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
 Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani, amesema
kuwa: 
"Yeyote  aliyesoma  Qur'ani  na  akajifunza  na  akaitekeleza,  wazazi  wake 
watavalishwa  taji  la  nuru  Siku  ya  Kiyama.  Mwangaza  wake  ni  mfano  wa 
mwangaza wa jua. Na wazazi wake watavalishwa suti mbili, na kwa sababu hiyo, 
watauliza: Ni kwa sababu ya jambo gani tumevishwa haya? Watajibiwa: Ni kwa 
sababu ya mtoto wenu kujifinza Qur'ani"
. 
Al-haakim
.
QUR'ANI  KUMUOMBEA  MSOMAJI  WAKE  HUKO  AKHERA
  Mtume,          
(
Swalla Allaahu ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
 Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani, amesema kuwa: 
"Someni Qur'ani, kwani itakuja Siku ya Qiyama ikiwa ni muombezi wa wasomaji 
wake"
. 
Muslim
.  
Aidha Mtume, 
(
Swalla Allaahu ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
 Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani, 
amesema kuwa:
"Saumu na Qur'ani zitamuombea mja Siku ya Kiyama".
Ahmad, Al-
haakim
.
MALIPO  YA  KUJUMUIKA  KWA  AJILI  YA  KUSOMA  QUR'ANI  NA 
KUIDURUSU
 Mtume, 
(
Swalla Allaahu ‘alayhi 
wa  aalihi  wa  sallam
)
 Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na 
amani,  amesema  kuwa: 
"Hawakukusanyika  watu  katika  nyumba  miongoni  mwa 
nyumba  za  Mwenyezi  Mungu  Mtukufu  wakikisoma  kitabu  chake  na  kukidurusu 
FADHILA ZA 
QUR’ANI
3
baina  yao  isipokuwa  tu  unawashukia  utulivu  na  inawaenea  rehma  na  Malaika 
huwazunguka na Mwenyezi Mungu huwataja pamoja na viumbe walioko kwake
"
. 
Abudaud
BAADHI YA KANUNI ZA USOMAJI: 
TARATIBU  ZA  USOMAJI
  Ibn-kathiir  ametaja  taratibu  nyingi.  Miongoni 
mwake  ni  hizi:  Mtu  kutoshika  Qur'ani  na  kutoisoma  isipokuwa  tu  anapokuwa 
twahara,  kupiga  mswaki  kabla  ya  kuisoma  Qur'ani,  mtu  kuvaa  nguo  zake  nzuri 
sana,  kuelekea  Qibla,  kusitisha  kusoma  mtu  anapokwenda  myayo,  kutokatisha 
kusoma  kwa  kuzungumza  isipokuwa  tu  kwa  dharura,  kuw
a  makini,  kusitisha 
kusoma  katika  aya  za  ahadi  (za  rehma)  ili  msomaji  a
ombe  (rehma)  na  kusitisha 
kusoma katika aya za makamio (ya adhabu) ili msomaj
i aombe kinga, kutouweka 
msahafu ukiwa umetandazwa chini na kutoweka kitu chochote juu yake, baadhi ya 
wasomaji kutosoma kwa sauti  ya juu mbele  ya  baadhi 
ya wasomaji wengine (ili 
wasiwe kero) katika kusoma na kutosoma masokoni na katika sehemu za zogo.
NAMNA YA KUSOMA
*
 TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR’ANI TUKUFU    
                    
                    
                                                    
                    
                    
                    يمكنك الاستمتاع بقراءة كتاب  
                       TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU 
                     اونلاين وعلى الموقع الخاص بنا من خلال الضغط على زر قراءة بالاسفل
                    
                    
                    
                    
                
                    
                    
                    كتاب 
 TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU 
                     يمكنك تحميله من خلال الدخول الى صفحه التحميل من